HABARI MPYA

Tuesday, December 31, 2013

ILALA DAR ES SALAAM: MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NAPOLI ATEMBELEA OFISI ZA CHAMA ILALA.

Mwenyekiti wa CCM tawi la Napoli Italy mh. Abdulrahaman A.Alli akisaini vitabu vya wageni , mara alipomtembelea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya ILALA Mh. ASSA S. HAROUN  ambaye pia ni Diwani wa Vingunguti D'salaam.

Mwenyekiti wa tawi la CCM Napoli alimtembelea Mwenyekiti wa chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ilala, kwa mazungumzo ya kichama.  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

No comments:

Post a Comment