HABARI MPYA

Friday, October 5, 2012

CCM MAKAO MAKUU

"wajibu wa kusimamia Tabia, Mwenendo na Vitendo vya Mwanachama na Kiongozi ni wa vikao vya Chama Cha mapinduzi kwa mujibu wa Katiba"

Mwenyekiti wa Kikao Cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama Cha Mapinduzi.
Jana Tarehe 23-09-2012, Dodoma.

4 comments:

  1. Mheshimiwa Katibu Mkuu Ndg.Bashiru Ally,KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,
    Tunayo heshima kubwa sana kwako kuwasilisha tena malalamiko yetu mbali na ujumbe tuliokutumia jana kuhusu migogoro na pingamizi letu dhidi ya mgombea mwenzetu Ndg.Rajabu hamsini katika zoezi la uchaguzi la kiti cha mwenyekiti wa kijiji-kijiji cha Tumbi Kibaoni-kata ya Tumbi-tabora manispaa uchaguzi kura za maoni.
    Mheshimiwa,pamoja na taarifa tuliyoituma kwako jana na kuelezea matatizo yetu na pingamizitulilowasilisa ofisi ya ccm wilaya na kupeleka nakala ofisi ya ccm mkoa hali bado si shwari kwani jina la mgombea uyu limerejeshwa kuwa yeye ndiye mgombea aliyeteuliwa na wilaya kuchukua fomu za kinyang`anyiro hicho mbali na malalamiko yetuyaliyopelekea baadhi ya wagomea kutoendelea na kujinadi na kususia zoezi zima kutokana na hali ya wapiga kura MAMLUKI wasio wanachama waliopiga kura hizo zilizoongoza kila kitongoji kwa kumpatia ndugu Rajabu Hamsini kura nyingi sana na kutuacha sisi tuonekane kuwa hatufai kabisa mfano wa (WACHAWI) wasiotakiwa kabisaa hali inayodhihirisha wazi na kuttiliwa shaka kabisa kwamba vitendo vya RUSHWA vilitendeka kama tulivyoainisha katika taarifa yetu ya jana,mbali na yote tumeshangazwa sana kwamba pamoja na sisi wagombea wote watano wa kiti hicho kuttia saini matokeo ya uchaguzi huo bado kamati ya siasa na wasimamizi wa uchaguzi wamekuwa na kiburi na kuyapeleka mbele matokea ya kura hizo hivyo hivyo bila sahihi zetu na kupelekea matokeo ya uteuzi wa Ndg.Rajabu Hamsini hali inayotushangaza saana na tunajiuliza kwamba CCM yetu imebadilika kiasi hiki cha kutowatendea haki wanachama wake na kimekuwa ni cama cha walionacho na kwamba wanyonge na wasio na uwezo wa kifedha inawawia vigumu kupewa madaraka? Kwa waraka huu bado tuna imani na uongozi wenu wa juu kutusaidia kuwaengua viongozi wanaotumia fedha na nyazifa zao kung`ang`ania madaraka kwa kusudi la kunufaika wao na familia zao na tunaamini kwamba kuenguliwa kwa wababe hawa kutasaidia kukisafisha chama na kukiimarisha ili kiendelee kuwa ni chama cha matajiri na maskini.Mheshimiwa,kwa heshima na taadhima tunakusihi sana utusaidie kuchukua hatua kali na kinidhamu ili kukinusuru chama na pia kuinusuru kata yetu na kijiji chetu kwani tabia hii imezoeleka sana hapa Tumbi kwani hata uchaguzi wa udiwani wa mwaka 1915 uligubikwa na matatizo ya aina hii na ushahidi tunao hadi hivi leo.Tunaendelea kukisafisha chama kwa kutamka kwamba RUSHWA NI ADUI WA HAKI na tutaendelea kukipigania chama chetu cha mapinduzi mwanzo mwisho na kuhakikisha kwamba haki inatendeka katika nyanja zote za chama na hatutaogopa kuusema ukweli daima.
    Tunaomba sana kwa moyo wako wa ukunjufu utusaidie kutupatia ufumbuzi wa kina na hatua zinazistahili zifuate ili hesima ya chama chetu ibaki kama ilivyo si Tumbi tu bali kwa Tanzania nzima.
    Tuakuombea na tunakutakia afya njema na mafanikio kazini na nyumbani kwako,
    wako watiifu kwako kwa chama cha mapinduzi na kwa Taifa kwa jumla,
    Wagombea wako watiifu:
    (1)Alex Brown
    (2)Simbila Magazi.
    (3)Hussein Mrisho.
    (4)Gabriel K.Maganga.
    Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako na kwa chama chetu,Ahsante sana

    ReplyDelete
  2. Naomba namba za simu za Hon Dr John P Magufuli the president of Tanzania I have my concern pls if not any member especially Dr Bashiru Ally or Ndg Humphrey Polepole 0629140641 my contact Our slogan Kidumu Chama cha Mapinduziiiiiiii Magufuli oyeeeeerrr

    ReplyDelete
  3. CCM ndakindaki Other political party Hahaaaaaa imekula Kwao this year

    ReplyDelete