HABARI MPYA

Friday, June 5, 2015

ZIARA YA KATIBU MKUU MIKOA YA KAGERA- GEITA NA MWANZA


ZIARA YA SIKU 28 KATIKA MIKOA YA KAGERA,GEITA NA MWANZA
  • Itakuwa hitimisho la ziara za kila jimbo nchi nzima
  • Ataanza ziara tarehe 4 Juni na basi maalum
  • atasimama Morogoro,Dodoma,Singida ,Nzega na Kahama atasalimia wanachama
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma wakati wa mapokezi Nyakanazi mkoani Kagera.

Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma wakati wa mapokezi Nyakanazi mkoani Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Buhiye mara baada ya kuwasili Nyakanazi mkoani Kagera ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya siku 10 katika mkoa wa Kagera.

Basi la CCM linalotumika katika ziara ya katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na katibu wa Itikadi na uenezi Ndugu Nape Nnauye.

No comments:

Post a Comment