HABARI MPYA

Saturday, May 17, 2014

ZIARA YA KATIBU MKUUKatibu mkuu amepewa heshima kubwa sana, hii nadhani kwa kuwa Watanzania na wana Urambo wameridhishwa na utendaji wake wa kazi na kuwa karibu sana na wananchi,kuyajua na kuyatafutia ufumbuzi matatizo na chanagamoto kwa jumla. Chama chetu kinzidi kuwapa matumaini Wanannchi kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi. Pongezi kwa Katibu mkuu na timu nzima yenye makamanda shupavu kama Katibu wetu wa siasa na uenezi ndugu NAPE NNAUYE.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.No comments:

Post a Comment