HABARI MPYA

Sunday, January 5, 2014

MSIBA CCM DIASPORA USA

Marehemu Zainabu Buzohera
KADA WA CCM DMV
CHAMA CHA MAPINDUZI Tawi la CCM Napoli Italy tumesikitishwa na taarifa za msiba wa kada wa Chama Bi Zainabu Buzohera. Tunaungana na Wana Diaspora wote na wanachama wote wa CCM DMV pamoja na wazazi na ndugu  wa marehemu katika kuomboleza msiba huu, Mwenyezimungu ampe makazi mema na awape wazazi wake na ndugu wote uvumilivu katika wakati huu mgumu wa msiba. Ataendelea kukumbukwa kwa mchango wake katika Chama.


KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.No comments:

Post a Comment