HABARI MPYA

Saturday, October 25, 2014

TANGAZO LA MKUTANO

NDUGU VIONGOZI NA WAJUMBE WA TAWI LA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAPOLI-ITALY TUNAPENDA KUWATANGAZIENI KUWA  KUTAKUWA NA MKUTANO WA  HALMASHAURI KUU YA TAWI SIKU YA JUMATANO 29/10/2014 SAA KUMI NA MOJA JIONI KATIKA OFISI YA CHAMA MJINI NAPOLI.

TAFADHALI NDUGU WAJUMBE TUZINGATIE MUDA ILI TUWEZE KWENDA NA WAKATI. TUKUMBUKE KUWA KATIKA SARE ZA CHAMA.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!


 Kagutta N.M

Katibu wa tawi

No comments:

Post a Comment