HABARI MPYA

Friday, December 27, 2013

SALAAM KUTOKA KAWE

Salaam kutoka kwa Mwanaharakati wa UVCCM Kawe Dar Es Salaam 
ndugu JAMES ROCK MWAKIBINGA

Ndugu James Rock Mwakibinga
Nawashukuru sana Uongozi wa ccm tawi la Italia ,kwa Mchan go wenu  kwa ajili ya Tamasha la Vijana Mkesha wa Mpya La Kata ya Kawe "Ongea Na Mwakibinga 2014,Twende na Mwakibinga,Twende Pamoja ,Twende Mbele zaidi"..Saaalamu Kwa Comrade  Kagutta Katibu wa tawi la Chama cha Mapinduzi Tawi la CCM Napoli Italy,Watanzania wa Italia tuko pamoja sana na Wana Kawe tutaendelea kushirikiana kwa Mengi ya kijamii.

No comments:

Post a Comment