HABARI MPYA

Thursday, March 12, 2015

ZIARA YA KINANA WILAYA YA CHEMBA YAFANA SANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulraman Kinana akihutubia wakazi wa Itolwa wilayani Chemba mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara zake za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010.
read more

2 comments:

  1. Ninawapongeza viongozi wetu wote was chama cha mapinduzi hasa ktk kusimamia amani ya nchi Yetu. Ninaomba tuzikumbuke Sana ahadi za mwanachama was Chama cha Mapinduzi:IMANI YA CCM
    Binadamu wote ni Sawa
    Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
    Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru


    AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI


    (1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja


    (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote


    (3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.


    (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.


    (5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.


    (6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.


    (7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.


    (8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.


    (9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

    ReplyDelete