HABARI MPYA

Monday, January 20, 2014

MH:MWIGULU LAMECK NCHEMBA AAPISHWA KUWA NAIBU WAZIRI WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete wakati akimwapisha Mh Mwigulu Nchemba kuwa naibu waziri wizara ya  fedha

katika picha ya pamoja na mh Rais JK
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi tawi la CCM Napoli-Italy kwa niaba ya wanachama wote wa tawi na mashina tunapenda kumpongeza mh Rais Dr Jakaya Kikwete kwa uteuzi wake wa baraza la mawaziri,tunafahamu haikuwa kazi rahisi kwake lakini tunaamini na kuufurahia utezi aliofanya. Tunawatakia kila la heri mawaziri wapya na wale wa zamani,ni matumaini yetu watatekeleza majukumu ya taifa kwa umakini na uwezo wao wote ili kuleta maendeleo ya kijamii na uchumi kwa taifa letu. Mungu ibariki Tanzania!!

Kagutta N.M
Katibu wa tawi.CCM Napoli Italy.

No comments:

Post a Comment