HABARI MPYA

Tuesday, January 14, 2014

KAMATI KUU YAMTEUA MAHMOUD THABIT KOMBO KUWA MGOMBEA WA UWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Zanzibar ambapo alitangaza uteuzi wa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki  Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo ,baada ya kumalizika kwa kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya CCM.  soma zaidi

No comments:

Post a Comment