HABARI MPYA

Tuesday, September 25, 2012

WAJUMBE WA NEC MJINI DOM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya moja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma wakati wa kikao cha NEC kilichofanyika jana. Kikao hicho kilikuwa cha mwisho kwa wajumbe wa NEC baada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi wao.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment