Ndugu wanachama wa chama cha Mapinduzi tawi la Napoli tunawatangazi kuwa mkutano wa wanachama wote utafanyika kesho tarehe 30/09/2010 katika ukumbi wa CGIL NAPOLI. Mkutano utaanza saa kumi na moja jioni tafadhali tuzingatia muda. Na mahudhurio ni muhimu kama inavyosema katiba .
Kagutta N.Maulidi
katibu wa tawi
No comments:
Post a Comment