| Mwanachama Mpya GABRIEL MOSES akikabidhiwa kadi |
Mwenyekiti wa tawi la Chama Cha Mapinduzi CCM tawi la Napoli pichani akiwakabidhi kadi wanachama wapya.
| Nae ndugu FRANCIS MWEREKE akikabidhiwa kadi na mwenyekiti wa tawi la CCM Napoli ndugu Abdulrahaman A.Alli. Zoezi hili fupi lilifanyika katika ofisi za tawi mjini Napoli. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!! |
No comments:
Post a Comment