HABARI MPYA

Friday, October 1, 2010

MKUTANO WA TAWI WAHAIRISHWA

Pichani ni Mwenyekiti wa tawi ndugu Abdulrahaman A.Alli na katibu wa tawi ndugu Kagutta N.Maulidi , katibu wa uchumi na fedha mama Fatuma Tandika (kofia nyeupe) na baadhi ya wajumbe walipokutana  kujadili mambo machache kabla ya kuitisha mkutano wa tawi.

Mkutano wa tawi umehairishwa mpaka hapo tutakapo watangazia tena. Mwenyekiti anawataka radhi wote walioshindwa kuelewa ukumbi wa mkutano. Ukumbi tulibadilishiwa na uongozi wa CGIL NAPOLI baada ya kuona kuwa kulikuwa na mkutano wa jumuiya zingine ambapo ukumbi wao haukutosha ndipo walipotubadilisha ukumbi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

No comments:

Post a Comment