HABARI MPYA

Monday, August 16, 2010

VIONGOZI WA TAWI LA CCM NAPOLI KATIKA MKUTANO MKUU KIZOTA

Vingozi wa tawi la CCM la Napoli Italy wakiwa katika mkutano mkuu wa tisa wa CCM uliofanyika kizota Dodoma julai 10-11. 2010. Mwenyekiti wa tawi ndugu Abdulrahaman A. Kapaga na Katibu wa tawi ndugu Kagutta N.Maulidi pichani walipata mwaliko huo ulijumuisha wawakilishi kutoka matawi mbalimbali ya nje. Viongozi wa tawi tayari wamesharejea Italy na wanategemea kuwa na kikao cha wanachama wote wa CCM Italy  mapema mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment